-Huddah Monroe amerudia njia zake za kitambo
-Binti huyo aliweka mtandaoni picha zilizochangamsha mitandao wakati wa likizo yake Spain
-Picha hiyo, inayoonyesha makalio yake imewafurahisha wanaume wengi katika mitandao ya kijamii
-Wengine walionekana kushangazwa na hatua yake kwa sababu awali alikuwa amesema amekoma kuweka mitandaoni picha chafu chafu
Habari Nyingine: Kioja: Mfanyibiashara apeleka panya 5 kituo cha polisi kwa kula pesa zake
Sosholaiti wa Kenya ambaye amegeuka kuwa mfanyibiashara Alhuda Njoroge, almaarufu Huddah Monroe Jumatano Mei 16 aliwahangaisha wanaume mitandaoni kwa kuwaonyesha maungo yake nusu uchi.
Huddah, ambaye awali alisema amekoma kuweka mitandaoni picha za aina hiyo ameonekana kusahau ahadi yake kwa kuweka picha iliyoonyesha makalio yake kutoka juu, kwa wote kuona.
Habari Nyingine: Kutana na kijana aliyemaliza chuo kikuu bila ‘kugusa’ msichana hata mmoja
Aliweka picha katika mtandao wa Instagram kando ya kidimbwi iliyowakanganya wanaume.
Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka
Picha hiyo ilivutia wanaume wengi mitandaoni ambao walionekana kushindwa kujizuia kwani walionekana kumtamani wazi wazi.
Baadhi yao walimpongeza kwa kuonekana mrembo lakini wengine walionekana kuomba sehemu ya ‘nyama’, hasa Team Mafisi.
Habari Nyingine: Lilian Muli afichua baba wa mtoto wake ambaye hajazaliwa
TUKO.co.ke imebaini kuwa binti huyo alipiga picha hiyo akiwa Barcelona, Spain, ambako alikuwa ameenda kwa likizo.
Lakini picha hiyo haikutarajiwa na wengi kwani awali alikuwa amesema alikuwa ameachana na tabia za kuweka picha mbaya mbaya mitandaoni.
Habari Nyingine: Sonko atoa sababu ya kutatiza hotuba ya William Ruto
Binti huyo aliondoa picha zote mbaya alizokuwa ameweka katika mtandao wa Instagram na kusema alikuwa tayari kuanza maisha mengine, bila mambo hayo kumwandama.
Read ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Subscribe to watch new videosSubscribe to Tuko youtube channel to watch more interesting videos
Chanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdibIFxg5Jmn66clJa1bq3WmpicoJFixKK6wK6knmWbqrGwusOoorCZXaOubrnArZxmo6eWeqzB1p6immWdqa6vsMCopaJloJ6wqa2MmqKir5Fiu7a%2F1GasnKCZY7W1ucs%3D