Wawindaji haramu wameripotiwa kuwauwa twiga wawili weupe na ambao ni wa jamii ya spishi ya kipekee

Idara ya huduma za wanyamapori nchini imethibitisha kuuawa kwa twiga hao huku ikisema kuwa inafanya uchunguzi wa mifupa ya wanyama hao.

Habari Nyingine: DP Ruto hatishwi na mswada wa kumbandua mamlakani - Seneta Susan Kihika

Habari Nyingine: Ruto hana kura za kushindana na Raila, Kutunny asema

Twiga hao waliripotiwa kuonekana mara ya mwisho kaunti ya Garissa miezi mitatu iliyopita.

Msimamizi wa hifadhi ya wanyama ya Ishaqbini Hirola amesema mabaki ya twiga huyo pamoja na mwanawe yalipatikana.

Hiyo ikitajwa kuwa pigo kubwa kwa uhifadhi wa wanyama nchini, imesemekana kuwa kwa sasa amesalia tu twiga mmoja mweupe wa kiume.

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia news@tuko.co.ke au WhatsaApp: 0732482690.

Tazama habari zaidi kutoka TUKO.co.ke

Subscribe to watch new videos

Chanzo: TUKO.co.ke

ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdjaYJ1fpRmq7Chl5Z6uLHUqZxmr5FiuKq8xKScnmWemLWqushmrpqtkayubrPAq6Csq5FjtbW5yw%3D%3D